Tuesday, April 13, 2010
A TANZANIAN WHO IS GOING TO BE HOT IN ENGLAND SOCCER..
Name ..Fazleabbas Pira.
Date of birth .20.02.1988
Place of birth-Tanga..Tanzania
Nacheza position ya goalkeeper.
nilipiga mazoezi na coastal union pale tanga chini ya kocha Zakaria Kinanda(marehemu)
nilicheza pamoja na kina said mhando ambaye pia alikuwa mchezaji wa yanga ,nyendi mpangala,
Sunday peter ambaye pia alichezea moro united..
Nilikuwa mchezaji bora 2005 kwenye shule ya popatlal secondary school ,
ndiyo nilikuwa nikisoma pale…
Niliondoka bongo 2006 kuja uk kwa masomo,,,
2007 nikasajiliwa team ya daraja la tatu Sudbury athletic fc iko kwenye Middlesex league ..
nimeshafanya majaribio team kibao kubwa kama Leyton orient fc iko daraja la kwanza uk,
nategemea kwenda majaribio Westham United na Leicester City May 2010..Mwaka jana Sudbury walifika fainaly ya kombe la parker ambaye fazleabbas alikuwa man of the match na kupata medali ..
pia nina blog yangu ni
www.fapira.weblog.com….
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
About Me
Followers
Archives
UNITED 4 LIFE...
LETS CHAT HERE MY FANS
OTHER BLOGS
-
-
-
-
-
-
-
-
TUNAHAMA11 years ago
-
-
-
-
-
-
No comments:
Post a Comment